tag:blogger.com,1999:blog-6084871815439457225.comments2016-05-10T01:55:19.919-07:00Arusha YetuUnknownnoreply@blogger.comBlogger16125tag:blogger.com,1999:blog-6084871815439457225.post-78983090303716862612015-04-25T15:46:17.106-07:002015-04-25T15:46:17.106-07:00Kama si BWANA Aliyekuwa Pmaoja nawe KOMANYA Na Use...Kama si BWANA Aliyekuwa Pmaoja nawe KOMANYA Na Useme sasa.....
MWACHENI MUNGU AITWE MUNGU, KWAKUWA YEYE NI MUNGU wa miungu YOTE.
MUNGU NI MUNGU WA KUOGOFYA..
KUMTEGEMEA NA KUMTUMIKIA MUNGU NI FAIDA KUBWA.
JAMAAAN WATU WA MUNGU TUWE WATII KWA SAUTI YA ROHO MTAKATIFU.

Ibrahim Mwakapola
0768 504232
Arusha-TanzaniaAnonymoushttps://www.blogger.com/profile/10444442514454881964noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6084871815439457225.post-23252798971673291922014-11-02T11:58:13.542-08:002014-11-02T11:58:13.542-08:00dada napenda sana blog yako kutembelea na kuona ya...dada napenda sana blog yako kutembelea na kuona yanayotokea Arusha jiji letu haswa sisis tulioko nje ya nchi kidogo sasa shida ni hii tu mpendwa huweki tarehe wala mwezi ya tukio unasoma habari hujuii imwtokea lini wala mwezi mbali ya mwaka ni hayo tu wakwetu other wise unajitahidi kutuhabarishaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6084871815439457225.post-49546301167850474292014-10-27T12:22:35.357-07:002014-10-27T12:22:35.357-07:00ripripBERNARD KOMBAhttps://www.blogger.com/profile/06570035190954174222noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6084871815439457225.post-76186592301935739032014-08-30T04:47:18.713-07:002014-08-30T04:47:18.713-07:00Kwa kweli hatujawaelewa... sielewi hii ajali imeto...Kwa kweli hatujawaelewa... sielewi hii ajali imetokea lini? maana hakuna hata mahali mnapotaja tarehe ya tukio. Zingatieni hilo
Asante.

Lusekelo wa Arusha.Lusekelohttps://www.blogger.com/profile/02402680194174735261noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6084871815439457225.post-26419117634115821872014-07-09T02:33:20.017-07:002014-07-09T02:33:20.017-07:00Huyo kijana anapatiwe adhabu ya kueleweka ili na w...Huyo kijana anapatiwe adhabu ya kueleweka ili na wenzake wakome maana hao wako wengi sana hasa mashuleni,pia waalimu wawe makini huko mashuleni.watoto wasipofika darasani wafuatiliwe maana hao wakubwa wanawaharibu hao wadogo tena ataje ni mara ngapi na ni wangapi anaowatendea huo uovu!Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6084871815439457225.post-80434423826414281062014-07-08T01:19:51.713-07:002014-07-08T01:19:51.713-07:00Hizi picha ni za tukio lililotekea 2012. Fanteni ...Hizi picha ni za tukio lililotekea 2012. Fanteni research vizuri kwanza kabla ya ku-post habari as mna-create unnecessary mass hysteria.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6084871815439457225.post-47139074545209651082014-06-08T00:02:17.633-07:002014-06-08T00:02:17.633-07:00HONGERA NASARI HONGERA NAIBU SPIKA NDUGAI KWA KAMP...HONGERA NASARI HONGERA NAIBU SPIKA NDUGAI KWA KAMPAN YAKO KWAKEAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6084871815439457225.post-57464727724954397922013-12-28T11:15:39.696-08:002013-12-28T11:15:39.696-08:00sidhani kuna ugonjwa wa Shirikisho la Damu, bali S...sidhani kuna ugonjwa wa Shirikisho la Damu, bali Shinikizo la Damu...muwe mnapitia kabla ya kutuma mtandaoniAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6084871815439457225.post-21174505654820848552013-07-14T14:06:27.361-07:002013-07-14T14:06:27.361-07:00Ni. Unafiki kupunguza kura zap chadema,wewe takwim...Ni. Unafiki kupunguza kura zap chadema,wewe takwimu zako umezipata wapi au Ccm?Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6084871815439457225.post-39975874134189327802013-04-22T07:14:55.334-07:002013-04-22T07:14:55.334-07:00Causing others to lose is not the way to win. The ...Causing others to lose is not the way to win. The way to win is to create value where there was none before...ukweli utabaki ukweli tu sku zoteexpienonoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6084871815439457225.post-42864639357661101732012-08-04T07:13:18.629-07:002012-08-04T07:13:18.629-07:00Lazima mbegu ife katika udongo wenye rutuba, maji ...Lazima mbegu ife katika udongo wenye rutuba, maji na hewa ya Kabondioksaidi ili iweze kutoa mbegu bora zenye tija kwa mpanz. Jones L. Kabigumila.Anonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6084871815439457225.post-76612244716925099572012-04-05T09:20:05.618-07:002012-04-05T09:20:05.618-07:00Interesting, methodical and very clinical analysis...Interesting, methodical and very clinical analysis. Keep it up Bro! Because a writing Africa is a liberated Africa!Goodman Manyanya Phirihttps://www.blogger.com/profile/15369122107376580214noreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6084871815439457225.post-78107882858868461052012-04-05T03:43:50.577-07:002012-04-05T03:43:50.577-07:00Uchaguzi mdogo umelazimishwa na sisiem baada ya ku...Uchaguzi mdogo umelazimishwa na sisiem baada ya kugundua mbinu mpya za wizi wa kura. hata hivyo naawaalika wananchi wenzangu wa arusha kwamba tuwe watulivu lakini tuioneshe serekali kwamba tumewachoka. kura zetu tutahesabu kwa mikono na si kwa laptop. TRASIAS KAGENZI ANA KAZI NYINGINE TENAAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6084871815439457225.post-1009596941535291372012-04-05T01:36:59.121-07:002012-04-05T01:36:59.121-07:00Watamvua Godbless Lema na watamwapisha huyo huyo t...Watamvua Godbless Lema na watamwapisha huyo huyo tena au Mgombea mwingine wa CHADEMA, ikiwa sheria zitamzuia Lema kuingia katika kinyang'anyiro cha Uchaguzi Mdogo!
CCM si Chama Tawala tena baada ya Oktoba, 2015!

Chifu Mabula,
Stakishari - Kipawa, Ilala
DAR ES SALAAMAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6084871815439457225.post-45839459290666455202012-04-05T01:35:17.006-07:002012-04-05T01:35:17.006-07:00duhhhh! uchaguzi mdogo tenaduhhhh! uchaguzi mdogo tenaAnonymousnoreply@blogger.comtag:blogger.com,1999:blog-6084871815439457225.post-78747352590108692462012-04-02T02:47:09.929-07:002012-04-02T02:47:09.929-07:00Ushindi wa CHADEMA ni wazi kwamba watanzania wengi...Ushindi wa CHADEMA ni wazi kwamba watanzania wengi wakiwakilishwa na wananchi wa arumeru wamechoka kuchezewa akili, wanataka mabadiliko. Vizuri sana, naipongeza CHADEMA, nawapongeza watanzania waliotuwakilisha katika jimbo la ArumeruRegan Mbarehttps://www.blogger.com/profile/13562702786052444582noreply@blogger.com