Arusha
Home » » Pazia la Tigo Fiesta Lafunguliwa rasmi Arusha

Pazia la Tigo Fiesta Lafunguliwa rasmi Arusha

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
.Msanii Alli Kiba akiwaongoza mkuu wa mkoa wa Arusha, Mrisho Gambo, Naibu waziri wa Ajira,Kazi na Vijana, Athony Mavunde, Goodluck Charles na Henry Kinambo kutoka Tigo kucheza pamoja kwenye jukwaa la Tigo Fiesta 2017 mkoani Arusha usiku wa kuamkia juzi.
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa Tigo kanda ya kaskazini, Henry Kinabo akizungumza na waandishi wa habari kwenye wa tamasha la Tigo Fiesta2017 mkoani Arusha 
Alicia akiendelea kushamyulia jukwaa la Tigo fiesta Jijini Arusha mapema mwishoni wa wiki iliyopita.


Msanii wa Ben Pol akitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta 2017 jijini Arusha tamasha llilofanyika uwanja wa sheikh Amri Abeid usikuwa kuamkia jana


Aslay  akitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta 2017 jijini Arusha tamsha llilofanyika uwanja wa sheikh Amri Abeid usikuwa kuamkia jana




Umati wa wakazi wa Arusha wakiwa katika kushuhudia burudani ya Tigo Fiesta 


Shangwe za Tigo fiesta zikiendelea





Vanesa Mdee  akitumbuiza kwenye jukwaa la Tigo Fiesta 2017 jijini Arusha tamsha llilofanyika uwanja wa sheikh Amri Abeid usikuwa kuamkia jana





Jux akilishambulia jukwaas la Tigo Fiesta 










Maya Sama akitumbuiza katika jukwaa la Tigo Fiesta 


Msaga sumu akitumbuiza katika jukwaa la tigo Fiesta.








Young D akishambulia jukwaa la Tigo fiesta usiku wa kuamkia juzi Jijini Arusha.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa