Arusha
Home » » WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, PROF. JUMANNE MAGHEMBE AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA HIFADHI YA NGORONGORO NA SERENGETI

WAZIRI WA MALIASILI NA UTALII, PROF. JUMANNE MAGHEMBE AFANYA ZIARA YA KUSHTUKIZA KATIKA HIFADHI YA NGORONGORO NA SERENGETI

Ikiwa unatukio lolote au jambo lolote tuma kupitia Barua pepe yetu blogzamikoa@live.com au Whatsapp namba +255765056399. 
Waziri wa Maliasili na Utalii, Prof. Jumanne Maghembe amefanya ziara ya kushtukiza tarehe 02 Julai, 2017 katika Eneo la Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro na kwenye Hifadhi ya Taifa ya Serengeti kwa ajili ya kuona maendeleo ya shughuli za utalii na changamoto zilizopo. HAYA NI MATUKIO YA ZIARA HIYO KATIKA PICHA.

0 comments:

 
Supported by Tone Multimedia Company Limited
Copyright © 2012. Arusha Yetu - All Rights Reserved
Designed by Fredy Tony Njeje
Proudly powered by Blogs za Mikoa